Asclepius
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 694
- 730
Wakuu salamu,
Kuna binti ni rafiki yangu anasoma IFM ila toka juzi naona ana dalili zote za kujiua status anazopost ukiongea nae yote hii ni kwa ajili ya kutaka kujiua naomba nijue nitamsaidia vipi au kama kuna therapeutic counselling specialist nawapata vipi?
Nb: Sababu kuu ni kuachwa na bwana wake alokaa nae kwa takribani miaka sita sasa tokea olevel huko its a serious issue.