TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 15,202
- 25,378
Nipo na jamaa yangu kwa sasa hapa Moshi huwa naongea naye mengi sana, na hata nikiwa napitia habari kupitia jf hasa jioni, jambo moja ambalo limemvutia nimsaidie ni hili;
Anahitaji wife friend ambaye kwa nafasi yake ajitathimini kabla ya kunitafuta mimi as TODAYS ili nimuungamishe na huyu jamaa yangu.
Amenimbia hajali dini bali awe mcha Mungu na mwenye upendo na ukarimu, jambo moja na angalizo aliloniambia na ninaliwakilisha kwako ni hili; ' Ukijifanya kuficha kucha kwa sababu ya kupata nafasi hii, elewa imekula kwako', maana atakumwaga.
Mimi ni mjumbe tu wadau wangu.
kwa niaba ya #Nat.

Last edited by a moderator: