Msaada: Anaejua minada au magulio makubwa

Msaada: Anaejua minada au magulio makubwa

Red Flower

New Member
Joined
Apr 15, 2022
Posts
2
Reaction score
1
Jamani NAOMBA MSAADA anayejua minada au magulio makubwa ya kila wiki katika MIKOA ya Kilimanjaro, Tanga, Morogoro, Lindi, Mtwara, Songea, Zanzibar, Manyara nk anitajie
 
wakongwe njooni huku ...tupate kujifunza pia wengineo ....
 
Manyara, njoo kiteto kuanzia tarehe 14, 15, 18, 19 na 20. Huwa Kuna minada mikubwa sana. Tanga Kuna mnda upo kibirashi huwa unafanatana na wa kiteto. Karibu Sana mkuuu
 
Back
Top Bottom