Ice cube haihitaji mashine unanunua viplastic unajaza maji unaweka kwenye freezer vikiganda tayari una Ice cubekuna jaama wako Sinza kipindi cha nyuma walikuwa wanauza ila za matumizi ya Bar kama ice cube. wacheki instragram kwa jina la "amazinflifestyletz"06544277770
Huo ni mfumo wa zamani siku hizi wazungu wameraisisha viko vi freezer vidogo special kwa ice cubeIce cube haihitaji mashine unanunua viplastic unajaza maji unaweka kwenye freezer vikiganda tayari una Ice cube
mkuu wacheki najidakia deals app yao ipo playstore wana machine zoteHuo ni mfumo wa zamani siku hizi wazungu wameraisisha viko vi freezer vidogo special kwa ice cube
Na mimi pia nazitafutaWadau kwa anaejua naomba msaaada pamoja na bei zake..ziwe na uwezo wa kutoa block ice ya 10kg