Jum Records
JF-Expert Member
- Jun 30, 2014
- 547
- 552
wakuu habari zenu
Kuna Rafiki wa kike wa rafiki yangu amepata tatizo la kubleed kwa wiki mbili mfululizo. Nikamuhoji rafiki yangu imekuaje akapata tatizo hilo akasema kuwa alimpa dawa ya kuzuia mimba aina ya P2.
Sasa ushauri wenu kwake afanye nini?
Asante nawasilisha!