hakika!Pole kwa kugongewa, ila hapo lazima uonyeshe wewe ni mwanaume, hawezi kukuzidi ujanja na ukumbuke, dhambi ya usaliti ni kama kula nyama ya mtu, ukishaionja tu, hutoicha kamwe
halafu huyo dada awe single mother... mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu wanaume wabinafsi kama niniUmekosea kidogo kuto funga ndoa...si jambo zurii...ila kwa hili jaribu kuyaweka sawa ataa ivyoo hisia nazoo hazikawwiii kuondoka hasaa kwa kuthibitisha mkeo anachepuka,,,,,ikiwezekana zaidii ooaa mwanamke mwengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati anagawa uroda kwingine alikuwa halijui hilo?halafu huyo dada awe single mother... mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu wanaume wabinafsi kama nini
Ni swali la mwanaume wa Dar mkuu hadi mkoa wa pwani huko sio mvulanahili swali ni la mwanaume au mvulana?????
mwanaume mke kakusaliti,yuko kwako,huna hamu naye,anakataa kutoka tena kwa hasira as if wewe ndo mwenye makosa
na bado unaomba ushauri nini cha kufanya???????????
hili swali ni la mwanaume au mvulana?????
mwanaume mke kakusaliti,yuko kwako,huna hamu naye,anakataa kutoka tena kwa hasira as if wewe ndo mwenye makosa
na bado unaomba ushauri nini cha kufanya???????????