MSAADA;-Amechaguliwa SUA ila Kwenye Selection hayupo

MSAADA;-Amechaguliwa SUA ila Kwenye Selection hayupo

Godlove jaxon

Member
Joined
Jan 23, 2013
Posts
49
Reaction score
7
Salam wanajf

Kuna ndugu yangu kachaguliwa SUA Agrobussiness kwa mujibu wa profile yake ya TCU inavyoonyesha ila jina lake halipo kwenye majina ya first batch selection yaliyopo kwenye website ya chuo hivyo amebaki njia panda hajui afanyeje

msaada wa mawazo wanajukwaa
 
Hongera Dana chakufanya jiandae tu kwan TCU ndo kilakitu

Nieleweshe vizuri mambo ya elimu sina uelewa nayo kwa hyo kama tcu washamchagua ajiandae kwenda tu hata kama kule jina halijatokea au
kwa jinsi nilivyokuelewa
 
Kuna batch one ambayo imetoka teyar lakin kuna tena batch nyingine zinakuja automatically lazm utakuwepo kwny izo batch list zijazo
 
Kuna batch one ambayo imetoka teyar lakin kuna tena batch nyingine zinakuja automatically lazm utakuwepo kwny izo batch list zijazo

ok ngoja niongee nae mkuu kwa hiyo kumbe ndivyo hua mambo yalivyo mkuu benzema9
 
Last edited by a moderator:
Asubiri batch nyingine kama ya kwanza hayumo
 
Back
Top Bottom