Msaada aliyewahi kutumia website hii

msold msward

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
595
Reaction score
202


Katika pita pita nimeona hii website nimetokea kuvutiwa nayo sana ni website toka nchini kenya nahitaji niwe nafanyia manunuzi humu badala ya eBay msaada aliyewahi kuitumia anisaidie na ushauri kama kuna utapeli nisifanye manunuzi na kila nikitaka kutazama marajesho sion mahali pa marejesho ndio inaniogopesha hapo hapo
 
Kilicho kuvutia ni nini sasa ikiwa hata huifahamu ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…