Msaada aliyewahi kunufaika na mkopo TSSF anisaidie

Msaada aliyewahi kunufaika na mkopo TSSF anisaidie

4c5a84133fe1e898fbcf0d9b52253949.jpg
 
Me nimekopa tssf na nimekubaliwa kusajiliwa chuo na nishasajiliwa na hizi elimu zetu za afya ada mamilion mengi huko jaribu elfu salasini kuipoteza kwa kupata zaidi sio kesi af kutotanbuliwa na ndalichako kwan benki zinazokopesha zote hua zinamfata azitambue???
mkuu,Chuo gani wamekukubali kwa barua za hawa jamaa?Na vipi washakuingizia Mzigo?Maana mwenyew nimewatumia jana
 
Mimi chuoni leo hii peupe wamenisajili kiroho safi,wenye Utomaso subirini A/C zetu zisome mtajua.
uliwapa barua Toka Tssf?Ila angalia hii Serikali dhalimu isije kutubania mpaka huku jamani.Mmmh
 
Mala paap! TSSF Wanatuma pesa za ada vyuoni kwa wanafunzi walioomba, Sasa sijui vyuo vitaikataa na kuirudisha hyo hela kwa kuwa TSSF haitambuliwi na wizara ya elimu.
 
Back
Top Bottom