Habari zenu wakuu.
Siku 3 zilizopita nilipoteza Galaxy.
Leo nimejaribu kupiga no ambayo niliipoteza na huyo simu ikawa iko hewani ila haipokelewi.
Naomba mnisaidie ni jinsi gani naweza kumpata huyu jamaa??

tumetoa tutorial nyingi hapa jinsi ya kukamata simu uliyopoteza tatizo huwa mnazipotezea
Chakufanya wahi nenda police kama ni simu ya hela nyingi au chache wapoze police kwa 50k afu wambie wakusaidie kumtrace Alipo itakusaidia kumkamata
Na iwapo anafanya contacts na watu watafanya ujanja kumdka wakishirikiana na watu mitandao
Najua wengi huwa wanaponda hi mitandao lkn ukionesha ushirikiano lazima simu hiyo uipate maana huyo aliyeiba ni BOYA na kumkamata ni rahisi