Msaada alipostpone chuo, anaweza kuhamia chuo kingine?

iCode

JF-Expert Member
Oct 16, 2013
760
440
Nawasalimu kwa jina la amani.

Mdogo wangu alipangwa na NACTE kwenda kusoma diploma ya pharmacy ST FRANCIS COLLEGE Ifakara.. Sasa hakwenda kwa sababu ya matatizo ya kiafya.

Sasa nataka afanye application intake ya mwezi wa nne.. Kuna usumbufu wowote utakaojitokeza akiapply NACTE kutafuta chuo kingine?Au kama kuna shida ni nini cha kufanya kabla ya kuapply? St Francis.
Pia naona ada ipo juu ndio maana nataka atafute kingine.

Naamini nitasaidika.
 
Wasiliana na Chuo alichochaguliwa wamtoe kwenye institution pannel ndoo ataruhusiwa kuapply la hivyo harusiwi akiapply ataendelea kusomeka kuwa alichaguliwa st francis
 
Nikifungua profile yake inakataa kabisa.. Haiexist
 
Back
Top Bottom