Msaada: Algorithm ya kutengeneza ratiba ya masomo kwa shule za msingi

Msaada: Algorithm ya kutengeneza ratiba ya masomo kwa shule za msingi

mpatto

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2017
Posts
766
Reaction score
1,038
Kwa wale software developers, computer engineers au IT specialists naomba mnisaidie algorithm ya automatic timetable generator. Hata kama uta extend kwa kutoa na codes pia itapendeza. Lugha yoyote itafaa kati ya php, C/C++, au python.
Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom