andythelast
Member
- Mar 22, 2014
- 65
- 25
kama unataka kwaajili ya manunuzi ya nje lazima uingie kwenye pesa ya dunia usd, lakini kama ni humo humo kwenu madafu hayafaa.Habari zenu wanajamvi,
naomba kuelimishwa mimi nina credit card ya Visa ya NBC nataka kuiunganisha na e-wallets mfano skrill na paypal,sasa swali langu ni je inawezekana maana akaunti ni ya Tshs au lazima nifungue akaunti ya Usd?
Asante
Aisee nashukuru sana, ila sijafahamu ntakua napoteza pesa kivipi, nitoe kizani hapo kidogo.Si lazima ika wewe ndio utakuwa unapoteza pesa kwenye rate pale..
Asante sana.kama unataka kwaajili ya manunuzi ya nje lazima uingie kwenye pesa ya dunia usd, lakini kama ni humo humo kwenu madafu hayafaa.
Asante kwa ushauri.Unaweza kuitumia wala haina shida.... rate inaji-exchange yenyewe automatic.... mfano uwe na mastercard ya TSH hata ukisafiri kwenda nje unatoa ela kwenye ATM na inatoka ela ya nchi husika
Duh,kama ndo hivyo haifai basi!!!Kuna siku nilitaka kununua kitu kwa PayPal walinipa exchange rate ya dola 1 kwa sh 5300.
wala usiogope, kabla hujafanya transaction hua wanatoa exchange rate kwanza,na siku zote rate zinakua sawa tu na hizi za kwenye beareau zetu zinatofautiana kidogo tu.Duh,kama ndo hivyo haifai basi!!!
Asante,nashukuru kwa ushauri.wala usiogope, kabla hujafanya transaction hua wanatoa exchange rate kwanza,na siku zote rate zinakua sawa tu na hizi za kwenye beareau zetu zinatofautiana kidogo tu.