TURTEKING
Senior Member
- Nov 4, 2020
- 128
- 223
Wakuu msaada plz
Ktk harakati za maisha nakaona nijiingize kwenye udereva mtandaoni nimefungua akaunti kadhaa za kampuni mbalimbali tatizo lipo kwenye kampuni ya uber nime upload document zote zinazotakiwa za mwanzo 3 ambazo ni leseni hati ya tabia njema (finger)na picha zikawa zimekubali nikaja kwenye ku add gari nikaweka kila kitu sawa na document zote zinazotakiwa nimeweka tena kwa usahihi..bima kadi latra zote za biashara kila kitu kipo sawa lkn shida ni kwamba zimekuwa pending sasa kwa siku ya nne (4) ..ndio nimekwamia hapo wadau azijawa reject wala missing inaonesha tu inasubiri (pending)siku ya 4 sasa je kuna tatizo au ni kawaida na itachukua mda gani kusibitishwa asanteni naombeni msaada