KumbeUsipofika Kituo Chako Huna Ajira
Ulipangiwa kituo cha kazi lini??jibu kwanza ndo nikupe majibuMsaada ukiomba kazi ya ualimu ukapangiwa kituo cha kazi ukaacha kwenda kureport vipi unahesabiwa kuwa umeajiriwa tayar ata kama hukwenda au unaruhusiwa kuomba tena ? Maana nilipangiwa siku report wala kujaza mkataba naomba kusaidiwa kabla ya deadline
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Ajira za mwaka juziUlipangiwa kituo cha kazi lini??jibu kwanza ndo nikupe majibu
Sawa kazi sina ndo maana sjaenda but hujafafanua m nachouliza naruhusiwa kuomba upya nkapangiwa tena ?Usipofika Kituo Chako Huna Ajira
Omba tu haina shida kwasababu hukupata check number ...masomo gani unafundisha?
Nafundisha physicsOmba tu haina shida kwasababu hukupata check number ...masomo gani unafundisha?
Shukrani mkuuPole kwakweli
Afadhali ungeripoti labda ukaomba ruhusa labda wakabaki na taarifa zako za udhuru kuliko ulivyokaa kimya kabisa.
Ngoja wajuzi waje wajuzi
Kama Kazi Huna Unaruhusiwa Kuomba Iwapo Una Sifa ZinazotakiwaSawa kazi sina ndo maana sjaenda but hujafafanua m nachouliza naruhusiwa kuomba upya nkapangiwa tena ?
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app