msaada aina nzuri ya anti virus

danja de genzo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
544
Reaction score
812
jamani msaada niweke anti virus gani mzuli kwenye PC yangu aina ya HP Na ninatumia window 8
 
jamani msaada niweke anti virus gani mzuli kwenye PC yangu aina ya HP Na ninatumia window 8
- Windows 8 inakuja na windows defender.
- Ifanyie update ni nzuri.

Ila umefika wakati sasa wa ku_upgrade OS katika PC yako na kuweka Windows 10
- Ni bora zaidi kuliko Win 8
- Na pia windows defender imeboreshwa zaidi, Na hautoitaji antivirus nyingine.
 
Mwl.RTC kuna kipindi ulinisaidia kuunlock simu yangu ila sasa Nina shida na Microsoft office napendela sana 2007. Naomba msaada wako. E-mail. hassan.gmalimi.holot.gmalimi.holota@gmail.com. Nitashukuru kwa msaada wako
 
nashukuru sana kwa ushauri wako ingawa nimechukua muda mrefu kukujibu.
 
kaspersky antivirus... best anti virus/spyware/malware ever
 
Avast kwangu ndo the best.
soa Avast ni nzuri
 
Windows defender iko vizuri sana na haina gharama kabisa na ndio naitumia ofisini mwaka wa nne sasa
 
Mkuu nimetumia win 10 kweli naipenda. Ila nimeshindwa kufunga updates. Inakula bundle hatari. Yani nikiunga Wi-Fi tuu inakula hata 2GB unfortunately
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…