Msaada: Aina gani ya laptop nzuri?

Msaada: Aina gani ya laptop nzuri?

Sishauri HP sizipendi, wi-fi hazishiki, nimetumia mbili tatu hivi, zote ukiturn on wi-fi hazikubali, nime-google naona hilo ni tatizo la wengi mtandaoni pia.
Haha ha unachekesha saana nimesoma hii comment yako nimecheka kwelii
 
mkuu mimi natumia macbook pro nimenunua juzi tu ni ya mtumba lakini bado iko fresh

macbook pro 13 inch mid 2012
processor 2.5 ghz intel core i5
memory 4 gb 1600 mhz ddr3
graphics intel hd graphics 4000 1536 mb

vipi hii mkuu itafaa kwa matumizi ya kawaida au ina uwezo mdogo sana
Mkuu Simango, kwa matumizi ya kawaida iko poa kabisa, ila kwa mtulinga wa video itakuwa a bit slow. Ila mac pro zote ni laptop za mtulinga.

Paskali
 
mkuu mimi natumia macbook pro nimenunua juzi tu ni ya mtumba lakini bado iko fresh

macbook pro 13 inch mid 2012
processor 2.5 ghz intel core i5
memory 4 gb 1600 mhz ddr3
graphics intel hd graphics 4000 1536 mb

vipi hii mkuu itafaa kwa matumizi ya kawaida au ina uwezo mdogo sana
matumizi ya kawaida inafaa ni generation ya tatu, na hata gaming utafanya kwa kiasi kidogo.
 
Inategemea kwa kazi gani .lakini best niloona ni lanovo. Nilikuwa na weka ina download movies kwa week nzima iko on inafanya kazi .lanovo zamani ilikuwa inaitwa IBM ya merekani wakainunua wachina
 
Nakushauri HP naamini ndo PC bora Japo mi ni mtumiaji mkubwa wa dell..Nimefanya kazi na Toshiba pia nikagundua zina upungufu kwenye uwezo wa processor maana zinazimika nikifanyia data recovery kwa Wateja waliopoteza data nyingi
 
Tafuta Kama 5K hivi Utafute Lenovo iko poa Sanaa Ushauri
 
Back
Top Bottom