Msaada agent wa Samsung Dar

Msaada agent wa Samsung Dar

MDAU JR

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
452
Reaction score
82
Habari!
Wakuu naomba msaada kuelekezwa mahala walipo mawakala WA bidhaa za Samsung waliopo Dar.
Natanguliza shukrani.
 
Kariakoo mkabala na kituo cha mwendo kasi gerezani, mtaa wa uhuru au CBD mtaa wa Zanaki freedom electronics au JMall

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom