Msaada: Afisa utumishi na Mkurugenzi wanapozuia mtumishi kuhama kisheria

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,162
794
Nilifanikiwa kuhama vzr tu, ikafikia kuhamisha mishahara wangu. Boss wangu wa zamani kuzuia nisihamishe mishahara nifanye nini.

Bosi mpya ashanipokea kazi nimeanza, nikiwa unafanyakaz na wakati huo huo nikiwaomba wanijamishie wakazuia.

naomba msaada,mawazo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom