Msaada: Advanced Mathematics 1&2 notes

Msaada: Advanced Mathematics 1&2 notes

Dah umenikumbusha mbali mambo ya complex numbers intergration differential equations etc
 
Duh kwanzia nianze 5 mpk namaliza cjawah vckia [emoji23] n vya namba kweli
Hivyo vitabu ni vizuri sana hasahasa hicho Dass, ukitaka kuamini ubora wake tembelea baadhi ya bookshop mfano pale mlimani city utakiona, ukikikisa hicho kuna kingine kimeandikwa na MEHTA, kama sikosei publisha wa hivyo vitabu vyote ni CHANDY
 
Poa ila m ndo nmeua
 
Hahaaaaaaaaaaa thread ya zamani lakini bado INA nguvuuuuu
 
Back
Top Bottom