Msaada adsense.

Msaada adsense.

co fm

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
1,569
Reaction score
2,584
Habarini za jion humu ndani.Mimi ni app developer based on android,nina apps zangu kadhaa nimelink na adsense ili kunipatia kipato nashukuru Mungu zimefika dollar kadhaa na google wameshanitumia hela shida inakuja mimi sina kitambulisho cha kura wala cha uraia wala driving licence hivyo nimeshindwa kutoa pesa kupitia western union.je ninaweza tumia barua ya serikali za mtaa au njia gani ili niweze kutoa hiyo hela?
 
Kitambulisho cha kupigia kura kimepotea au hauna?? Kama kimepotea nenda nida watakupa barua
 
kitambulisho cha kupigia kura sina..kipindi wanaandikisha vitambulisho vya kura sisi tulikuwa jeshini(mujibu wa sheria)
 
Habarini za jion humu ndani.Mimi ni app developer based on android,nina apps zangu kadhaa nimelink na adsense ili kunipatia kipato nashukuru Mungu zimefika dollar kadhaa na google wameshanitumia hela shida inakuja mimi sina kitambulisho cha kura wala cha uraia wala driving licence hivyo nimeshindwa kutoa pesa kupitia western union.je ninaweza tumia barua ya serikali za mtaa au njia gani ili niweze kutoa hiyo hela?
vp mkuu ulifanikisha?
 
Back
Top Bottom