Msaada adsense.

Msaada adsense.

co fm

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
1,569
Reaction score
2,584
Habarini za jion humu ndani.Mimi ni app developer based on android,nina apps zangu kadhaa nimelink na adsense ili kunipatia kipato nashukuru Mungu zimefika dollar kadhaa na google wameshanitumia hela shida inakuja mimi sina kitambulisho cha kura wala cha uraia wala driving licence hivyo nimeshindwa kutoa pesa kupitia western union.je ninaweza tumia barua ya serikali za mtaa au njia gani ili niweze kutoa hiyo hela?
 
Subiri wajuvi wa hayo mambo waje wakujuze.

NB: Vitambulisho vya kura, kitaifa ni muhimu sana hata kama hutaki kuja kupiga kura, zoezi la kuboresha daftari la wapiga kura likianza nenda kapate kitambulisho
 
Back
Top Bottom