Msaada ada university of dar es salaam

Kweli kabisa hayuko serious... Nenda hata KFC au pizza hut kawe waiter wakupe laki mbili au Tatu kwa mwezi...
Sasa kila ukishauriwa unapinga mkuu mojawapo kasema nenda kanisani unapinga, fanya mishe mtaani unapinga, ww unataka upewe cash mkononi??!!!.

Kama. Unataka cash mkononi nenda pale mwenge ofisi za HESLB, ukifika muulizie Razaq Badru atakupa.
 
Hajui kua maisha ni vita sio rahisi kama anavyojaribu kuyachukulia..
Sijui hii tabia ya kuombaomba inaisha lini , mwisho wa siku atakosa kazi aje tena hapa aombe! Maisha ni magumu Na sharti kila mtu ayapitie , no shortcut, hata Mimi nini mashida kibao Ila kuomba haiwezi kuwa suluhu ya shida zangu as long as nina nguvu na Akili za kufanya kazi
 
Jaribu kwenda pale Lumumba,waalezee shida yako wanaeza kukusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…