mwamirukokerwa
Member
- Oct 25, 2018
- 12
- 1
kwanin mkuu?,but asante kwa ushauriKila la heri .
Nikushauri kidogo ungejitaidi kuijua JF hata kwa siku mbili ilivyo ndo uweke huu uzi. Maana kuna muda utajutia uloyaeka hapa wazi
Kwamba uta rudisha baada ya kumaliza na kupata kazi ..kumbe manabii/watabiri wengi saivihabari wanajf naomba msaada wa ada. nimepata nafasi ya kusoma university of dar es salaam COICT, Diploma in Computer science.
ada ni milioni mbili kwa miaka miwili yote, but semister ya kwanza inahitajika laki 5 na elfu tano ya kitambulisho
accomodation na other fees ni kama
books and stationary 150,000 x2
meals 952000x2
accommodation 595000x2
IPT expenses 600000x2
transport IPT 40000x2
total cost mpaka namaliza chuo ni shilingi 6679000
msaada wa ada ninaoomba ntaurudisha baada ya kuhitimu masomo na kupata kazi kwa kulipia kidogo dogo kwa kuongezea riba ya asilimia ishirini
yaani mwisho ntarudisha 8014800 tshs
kama unataka kujiridhisha zaidi nipo na admission letter tayari,na msaada wa hali yoyote ile unakaribishwa
malengo yangu ni kugraduate nikiwa competent kwenye computer programming
ntashukuru endapo lengo langu litakubaliwa
mawasiliano 0628 041 901
kwa nin mkuu?Kwamba uta rudisha baada ya kumaliza na kupata kazi ..kumbe manabii/watabiri wengi saiviView attachment 912225
Mambo siyo rahisi namna hiyo mkuu, Ila nakutakia kila la kheriwakuu bado sijapata msaada
mkuu sina hata mia yaani hapo inahitajika laki5 plus elfu tano ya kitambulisho ili nianze masomoBinafsi umejipangaje ?
mkuu sina hata mia yaani hapo inahitajika laki5 plus elfu tano ya kitambulisho ili nianze masomo
Fanya mishe nyingine maisha yasonge , usipoteze muda kama Hali hairuhusu
but mkuu shule ndo the best thing ever in life kwa watu maskini,Fanya mishe nyingine maisha yasonge , usipoteze muda kama Hali hairuhusu
wametoa wiki mbili so by tarehe 20 inabidi niwe nishapata ada angalau ya kufanya registrationKwa ninavyojua Udsm mimi. cha muhimu pale ada ya hostel kwanza alafu mwisho wa ada ya chuo wanakupa wiki 4 mbele ya kulipa so bado muda wa kulipa upo. Hicho siyo chuo cha binafs au vingine wanaotaka ada siku ya kwanza.
Sijakataa, ingia mtaani isake Ada, si unaona JIWE kabana kotekote ndugubut mkuu shule ndo the best thing ever in life kwa watu maskini,
but mkuu shule ndo the best thing ever in life kwa watu maskini,
nilisha ahirisha sana miaka hiyo hela ya kusave bado matatizo yalikuwa hayaishi so bado nilikuwa naitumia kumaliza matatizo mapya yaliyokuwa yanajitokezaSasa utasoma ukiwa huna pesa?
Ushauli wa bure huu hapa,,,hailisha kusoma mwaka huu then fanya vibarua kubeba zege,saidia fundi na chochote kitakachokufanya uapate hata kama ni laki mbili kwa mwezi. Save hiyo pesa kufikia mwakani mwezi kama huu utakua na zaidi ya m 2'
Haupo serious wewe,,endelea kuomba omba tu..nilisha ahirisha sana miaka hiyo hela ya kusave bado matatizo yalikuwa hayaishi so bado nilikuwa naitumia kumaliza matatizo mapya yaliyokuwa yanajitokeza