Vangiporini
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 328
- 319
natanguliza shukrani zangu kwa mwenye avtivation keys za DRIVER TOOL prog inayo search na kutoa updates kama kuna drivers zimemis au zipo out of date
nashukuru mkuu nitalifanyia kazi hiloc udownload Driver solution pack ama Cobra driver pack hizo zina detect driver zilizo miss na kama umedownload latest pia itaupdate drivr z zaman
shukrani mkuu,ngoja nizichekLunya embu pita kwenye hii thread,https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/611892-drivers-update.html alafu uchukue Uniblue driverscanner aliyoiweka Mwl.RCT . Mimi binafsi nimeitumia na sasa drivers zote zipo uptodated, moja tu ndo bado "Network Controller" na ntaendelea kuitafuta. Live longer JF and bless its good people.
mkuu hiyo driverscanner iko poa sana...thnxLunya embu pita kwenye hii thread,https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/611892-drivers-update.html alafu uchukue Uniblue driverscanner aliyoiweka Mwl.RCT . Mimi binafsi nimeitumia na sasa drivers zote zipo uptodated, moja tu ndo bado "Network Controller" na ntaendelea kuitafuta. Live longer JF and bless its good people.