20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,217
- 7,255
ukisoma jinsi livyo tengenezwa 90% ya yaliyomo ni real 10% ndiyo CGI tena imetumika kufuta nyaya, kuficha camera. pale wakati wanaenda muokoa yule demu kwenye basi wameharibu more than 40 cars.
kuna ile wanaruka na magari toka kwenye ndege ni kweli yalirushwa bila watu mawili mawili kutoka kwenye ndege tatu tofauti.
Kuna sehem wakat wamekutan ,before chopper kupiga jengo lile. Ukichek mapigo yao Vin alikuw slow ukicompare na yule mshkaji