Ramadhani Kapenga
Member
- Apr 2, 2012
- 32
- 8
Hi Wadau wa JF hasa wale wenyeji mjini Mwanza. Inahitajika nyumba ya kupanga ambayo pia itatumika kwa office. Nyumba yenyewe inapaswa iwe na vyumba vinne vya kulala na ofisi kubwa na pia kuwepo na kijumba nje ambacho kitatumika kama stoo kwa kuweka vifaa vihusikanavyo na kazi na sehemu pana kwa kuegesha si chini ya magari manne. Kuwe na fence pia.
Maeneo yanayopendekezwa ni Isamilo, Kirumba, Ghana, Mkuyuni na Mwananchi au pengine popote ambapo kuna mazingara mazuri ya usalama na utulivu kwa kazi na kuishi. Mwenye kuweza kuwa na ufahamu kuhusu hilo ani PM au adadavue hapa.