Msaada; acc yangu ya facebook imeingiliwa

Msaada; acc yangu ya facebook imeingiliwa

Tujisahihishe Tz

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
3,061
Reaction score
1,367
Wakuu heshima mbele naombeni msaada wenu kuna mtu ameingilia account yangu facebook na ameanza kunichafua kwa kupost vitu vya kitapeli amebadilisha na password yangu hivyo siwezi kuingia tena, vp kuna namna yoyote ya kufanya?
 
Report hiyo akaunt kuna mahalu kumeandikwa report ingia na id nyingime them search jina lako afu click report yatakuja maelezo chagua this account is hacked baada ya hapo utattakiwa kuingiz pasword zako
 
ahsante mkuu ngoja nijaribu nitakupa feedback
 
Report hiyo akaunt kuna mahalu kumeandikwa report ingia na id nyingime them search jina lako afu click report yatakuja maelezo chagua this account is hacked baada ya hapo utattakiwa kuingiz pasword zako

Report a Problem
Forgotten Password?
Let us know about a broken feature
Make sure you mention which page you were on and
what you were doing when you encountered the bug.
What went wrong?
Submit
Attach optional screenshot:
Choose…
Your device and carrier information will be attached
to the bug report.
Although we regularly use this data to improve the
quality of the site, we do not reply to bugs submitted
through this form on an individual basis. This is not
the correct place to report abuse or policy violations.
If you are looking to report something other than a
technical problem, please see the Help Centre.

Mkuu hayo maelezo nimecopy sasa nareport acc ipi niliyoungia nayo au ile yangu iliyoingiliwa?
 
Mkuuu inaniandikia maneno haya

You used an old password. If you have forgotten your
current password, you can request a new one .

Yeaa fanya urequest sasa ! Hizo mpya ! Inawezekana jamaa hakuchange email address !
 
We ndo kombando wa shida ?
Kuna email kwenye account yako huku disable we jamaa !
 
nipe email yako na password ! Ya zamani ! Mana nimejaribukuingia na facebook ID yako ! Nitumie kwa PM kama utaweza
Halafu wewe snipa acha kufundisha watu, unatuvurugia deal zetu hapa mjini
 
Halafu wewe snipa acha kufundisha watu, unatuvurugia deal zetu hapa mjini

Nilekebishie Account hii apa mkuu !

Email= d3ng3roushack3r@gmail.com

password= #QWERTY2013QWERTY#

ukiweza tutaongea !
 
Hamn mahali pameandikwa this account was hacked kama ipo click hapo kenye maelezo ya kuireport
 
du pole sana ndugu aisee kumbe facebook wakihack account yaho huna msaada aisee
 
Muombe mtu aingie kwenye acc yake then ende kwenye profile yako achague picha yoyote then aende kwenye options za picha achague this acc has been hacked or something like that

ume google lakini?
 
Si ulitumia Email kufungua? Kwani wame-hack hadi Email? Hafu ujue alie hack ni rafiki yako au ile tabia ya kuclick remember password kwenye laptop za jumuiya.
Omba wakutumie password kupitia Email yako.
 
Wakuu heshima mbele naombeni msaada wenu kuna mtu ameingilia account yangu facebook na ameanza kunichafua kwa kupost vitu vya kitapeli amebadilisha na password yangu hivyo siwezi kuingia tena, vp kuna namna yoyote ya kufanya?

Inawezekana kuna eneo umefanya uzembe, hauku logaut. Au kama tmetumia internet cafe hawa jamaa hawaaminiki, ni wadukuzi vibaya mno, wameinstall viprogram vya kudaka users IDs na password.
 
Inawezekana kuna eneo umefanya uzembe, hauku logaut. Au kama tmetumia internet cafe hawa jamaa hawaaminiki, ni wadukuzi vibaya mno, wameinstall viprogram vya kudaka users IDs na password.

Asingeweza ku change password huyo aliye m hack ! Mana lazma azijue old password !

Na masahihisho madogo tu mkuu
 
Back
Top Bottom