Msaada: 4G kwenye samsung Galaxy j7 2015

Msaada: 4G kwenye samsung Galaxy j7 2015

STERLING2014

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
239
Reaction score
74
Wadau naomba msaada wenu natumia galaxy j7 dual sim ya 2015... Lkn kwa siku za hv karibuni imekuwa haishiki mtandao wa 4g hata kwenye eneo lenye mtandao huo wa 4g.... Nilijaribu kwa tigo ikashindwa na now nipo kwenye mkoa wenye voda 4g.... Lkn mwanzoni ilikuwa haina shida... Mwenye kujua namna ya kufanya simu yangu hii inase 4g naomba msaada...
 
Ni kuiseti simu kwanza kupitia setting, mobile networks, na kuenable 3g, 4g, 2g kama automatic yako. Kisha uwe na line inayosapoti 4g kisha uwe mkoa unaosapoti 4g.
 
Ni kuiseti simu kwanza kupitia setting, mobile networks, na kuenable 3g, 4g, 2g kama automatic yako. Kisha uwe na line inayosapoti 4g kisha uwe mkoa unaosapoti 4g.
Iko hvo mkuu aisee
 
Nmejaribu hata kutumia app za kuforce 4g only lkn still inakataa kukaa kwenye LTE Only
 
LTE Ina setting zake angalia tutorials You Tube namna ya kufanya setting
 
nenda setting kisha about model yake ni j700F ama j700H ama model gani?
 
Kama kuna njia nyingine labda ya kupata update mkuu... Nijuze
 
Back
Top Bottom