Jamini habari za asubuhi,
Naomba kwa yule ajuaye kuhusu hili tatizo la mama mkwe wangu nikono inamuuma inakuwa na uchungu kama vile kaumwa na inge au mdudu mwenye sumu halafu vilevile huwa inatetemeka sana anashindwa hata beba kitu kidogo , so nlitaka kumsaidia kama kuna wataalamu wanajua hili tatizo mnijuze ili nijue pa kuanzia kumsaidia mama mkwe
Asanteni sana,:confused3: