Nimewahi kusikia kuwa wazalishaji wa simu huzalisha simu tofautitofauti kutegemea na teknolojia ya mawasiliaono ya nchi husika.Kama ni kweli, inawezekana features zake hazikuundwa kwa ajili ya teknolojia iliyotumiwa hapo ulipo. Ninapita, tuwasubiri wataalamu.