jrharakati
Member
- Jul 13, 2015
- 37
- 1
ivi kuna haki yoyote kuhusu Tra wakija kwenye makazi yako na kuchukua bidhaa na kuondoka nayo kisa haujakata leseni naombeni msaada kwa hilo