Msaaada tafadhali!!!

Msaaada tafadhali!!!

Shixi889

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2012
Posts
338
Reaction score
208
Naombeni msaada wenu wanajf ni kweli kwamba kwa mwanamke/mwanaume kuanzia 28yrs ni ngumu sana kuanzisha mahusiano mapya na mtu mpya maana inakuwa kama kurisk muda wake?
 
we format tu na kuintall upya uone kama haikubali.inakubali tu you just go on
 
Mie nina miaka 50 na nimeanzisha uhusiano mpya itakuwa hao wa 28!
 
Khaa! We si umevunja ungo juzi tu ndo nikakuoa? Hebu njoo pande hii nikulenge, nna hamu.

Babu!
BT, Yuko sahihi na anakiamini anachokisema!
Sanasana kakuumbua, tatizo liko kwako huyu ni mfano wa wale uliowakagua ukiwa una uko bwaksi !
Hivyo punguza ulabu wakati wa makaguzi ! That's why unashindwa ku'recognize their age.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom