msaaada kwenye tuta! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaaada kwenye tuta!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by daby mouser, Jul 15, 2012.

 1. d

  daby mouser JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  wakuu naona operamini yangu haifunction kwenye facebook kila nikiselect facebook Icon ina goma na kuniletea hii kitu:http://m.facebook.com/login.php?next=http%3A%2F%2Fm.facebook.com%2Fhome.php%3Frefid%3D52&refsrc=http%3A%2F%2Fm.facebook.com%2Fhome.php&refid=52&_rdr
  NAOMBA MWENYE UJUZI ZAID ANISAIDIE TAFADHALI,TATIZO LIMEANZA LEO!!
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,811
  Likes Received: 7,148
  Trophy Points: 280
  Nime assume website zingine unaingia ila ni facebook tu inakataa.

  Kuna posibillity kubwa hio bookmark icon imekufa link yake fata solution hizi

  Jaribu manually kuingia fb.
  -enter adress andika m.facebook.com
  -search google m.facebook.com

  Pia unaweza kusolve hio icon kwa kupress centre button kwa nguvu utaona inatokea option ya edit then click it na andika m.facebook.com.
   
Loading...