mind bringer
Senior Member
- Oct 19, 2017
- 170
- 51
kila nkifungua app kwa cm yang inatokea hivoo nawezaje kufix
n app zotee mkuu afuu nsha restart sana fon ila bdo had nshafanya factory reset but still ina existNi hiyo Jamiiforums app peke yake inafanya hivyo au na apps zingine?
Nenda kwenye settings >applications > Jamiiforums >click kisha clear chache halafu force stop. Ukimaliza toka jaribu kuifungua tena.
Kama ni apps nyingi zina tatizo hilo restart simu ujaribu tena.