MSAAADA: Kuhusu earn money online

g4cool

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
431
Reaction score
211
Kuna mabandiko kadhaa yanayoelezea kuhusu kuearn money online kwa kufanya kazi mbalimbali kama translation nk, baada yakupitia mitandao kadhaa nikakutana na ile inayoweza kuearn money through watching videos, ads na kucomplete surveys, ila ugumu niliouona ni kuwa mingi haifunguki kwa huku kwetu tz, so swali langu ni kuwa je kuna namna unaweza kujiregister na kuweza kuearn money through VPN? Au kuna namna gani yeyote? kuna mwenye uzoefu na hili?
 
Asubuhi nilipost kuhusu kuomba kujua namna ya kuweza kuearn money online through watching ads, videos na kucomplete surveys, ila baada ya muda uzi wangu sikuuona tena sijajua kwanini modes waliuondoa
Lengo langu ni kujua website zinazolipa watu kwa kuveiw ads, kurate videos na kucomplete surveys zinazowork huku kwetu, coz nyingi naona zinahusu USA, Uk Canada nk,
so kama kuna mwenye uelewa anisaidie
 
so hakuna ambazo ni za ukweli?
 
so hakuna ambazo ni za ukweli?
Zipo mkuu Ila Hela unayopata Bora ukauze Azam ukwaju, unaweza piga kazi kwa siku ukapata 100 ama 200, hizo ndio zinakuwa za kweli.

Kuna site Kama clicxsense zinatoa huduma Kama hizo kuangalia matangazo, sema nimeicheki Sasa Hivi ipo down.

Ukitaka upate hela kwa vitu Kama Hivi uwe na site yenye traffic ya kutosha ufanye affiliate.
 
100 au 200 ni nini mkuu? Na je una link ya hizo web za ukweli?
 
Bora wangekuwa wanatoa maswali mengi lakini kama premise wanatoa maswali ya shilingi 80 kwa siku , [emoji3185][emoji3185][emoji3185]hivi ni lini utapata pesa ya uhakika .
 
Kusema ukweli kwenye app kama Premise, unaweza kupata hela ya bundle au matumizi madogo sana, kuna wakati nilikuwa sina issue na nilikuwa nazunguka sana mjini na Premise kwa task za picha nilikuwa napata 10,000 hivi kila siku 5.

Lakini ukitaka hela online ya kweli jiunge na Freelance platforms kama Upwork, Fiverr au freelancer.com kuna kazi nyingi kwenye hizi platforms kwa watu wenye skills tofauti unaweza kufanya kazi za kutafsiri, kuedit video au picha, kutengeneza programu, kufanya voice over na mengineyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…