msaaada jinsi ya kuapply udom second round

msaaada jinsi ya kuapply udom second round

La purga

Member
Joined
Nov 27, 2018
Posts
34
Reaction score
30
kam hyooo pich inavyoonyesh nimeambiwa nakaribishwaa kuapply for second round lkn sas sas niingie wap kuapply..????
1566481996587.jpeg
 
Ingia kwenye account yako then upande wa kushoto juu click hiyo three white lines hizo then choose apply program then endekea
 
Ni kazi sana yani
udom haapo serious hata kidgo,, tatizo la kutokupata control namba tangu Jana linasumbua,, nimewapigia simu Jana asubuhi wa kanambia nisubir had Jana sa kumi ila cha kushangaza mpaka Leo shida ile ile inaendelea
 
Back
Top Bottom