Je, inawezekana Kuchaguliwa Chuo kwa awamu ya pili bila kuomba Chuo?

vicbil21

Member
Oct 6, 2020
18
2
WAKUU ;

Nlikua nauliza kam usipochagulia 1st selection ya chuo kikuu unaweza kuchagulia 2nd selection bila kuapply?
Maana m nliapply UDSM nikaambiwa limited space.

Pia UDOM nikaambiwa hvohvo sa nisubiri second selection au ni-apply upya.

NAWASILISHA.
 
Nadhani wanaweza kuchagua kama waliochaguliwa vyuo vingine wakiachia
 
WAKUU ;

Nlikua nauliza kam usipochagulia 1st selection ya chuo kikuu unaweza kuchagulia 2nd selection bila kuapply?
Maana m nliapply UDSM nikaambiwa limited space.

Pia UDOM nikaambiwa hvohvo sa nisubiri second selection au ni-apply upya.

NAWASILISHA.
Kwa system ya sasa ambayo unaomba chuo moja kwa moja, kila round inajitegemea. Ukikosa ya kwanza wakifungua dirisha round ya pili unaomba tena. Uwe makini, sijui ufaulu wako lakini vijana wengi wanajichimbia kaburi kwa kuomba vyuo pendwa hasa vya umma pekeyake. Sasa kama hao UDSM na UDOM wana limited space round ya kwanza round ya pili sidhani kama watakuwa na nafasi za kutosha. HAKUNA Ubaya ukiviweka tena just in case kuna waliochaguliwa ambao wataamua kuto kuchukua nafasi hizo lakini kwa usalama wako angalia vyuo hasa vya private.
 
Leo nimefanya mawasiliano na CFR - Kurasini wakasema awamu ya kwanza wamewapokea zaidi ya 600 wakati kiwango chao ni 300. Hivyo hawana uhakika kama watapokea tena zaidi ya kupunguza.
 
Back
Top Bottom