Cheche Mtungi
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 2,619
- 771
Nina machine aina ya dell xps 1210 ukiiwasha switch button inaonekana inawaka lakini display haionyeshi kitu,pili nimejaribu kucheki kwenye external display ili kuangalia kama display ina matatizo nayo haionyeshi kitu,naombeni msaada wa haraka!