msaaada: cursor imestuck nimebadilisha hadi windowlakini bado!

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,290
Wakuu
naomba msaada wenu, kuna laptop yangu cursor imestuck kabisa nimebadili hadi window lakini hamna chochote.
Pia vile vitufe vya right click na left click navyo havifanyi kazi!

Japo ukiweka external mouse inafanya kazi vizuri tu!
Naombeni msaada wakuu je tatizo hapa linaweza kuwa nini??
 
Zima mashine then kaa dk 2 hafu washa au la inawezakuwa kama unatumia laptop adpoter yaani iyo chaji ina short so chomoa chaj tumia bila chaji uangalie kama itaendelea kustack fanya hayo kwanza
 
Kama kabadili hadi windows kuzima itasaidia?
 
Zima mashine then kaa dk 2 hafu washa au la inawezakuwa kama unatumia laptop adpoter yaani iyo chaji ina short so chomoa chaj tumia bila chaji uangalie kama itaendelea kustack fanya hayo kwanza

haijaanza sasas hivi imestuck kwa wiki moja sasa na kila mara huwa naiwasha kuangalia kama tatizo limetoka ila bado lipo!
Ila nikichomeka external mouse inafanya kazi!
 
Wakuu
naomba msaada wenu, kuna laptop yangu cursor imestuck kabisa nimebadili hadi window lakini hamna chochote.
Pia vile vitufe vya right click na left click navyo havifanyi kazi!

Japo ukiweka external mouse inafanya kazi vizuri tu!
Naombeni msaada wakuu je tatizo hapa linaweza kuwa nini??

Mkuu touch pad yako ina matatizo je uliidondosha?
 
Wakuu
naomba msaada wenu, kuna laptop yangu cursor imestuck kabisa nimebadili hadi window lakini hamna chochote.
Pia vile vitufe vya right click na left click navyo havifanyi kazi!

Japo ukiweka external mouse inafanya kazi vizuri tu!
Naombeni msaada wakuu je tatizo hapa linaweza kuwa nini??
possibly your laptop umeweka cursor lock, ni aina gani ya laptop? taja aina na modeli
 
You probably accidentally locked it. Look on your laptop's keyboard for a picture that looks like your mouse trackpad. Usually you hit the Function (Fn) key and that button to lock or unlock it. On some laptops, there is a button right above the trackpad to lock or unlock it.
 
Back
Top Bottom