Msaa wa haraka hapa wakuu wangu!

Msaa wa haraka hapa wakuu wangu!

mzee wandimu

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2011
Posts
470
Reaction score
232






[TD="class: votecell"]
[/TD]
[TD="class: postcell"] Nashindwa kuona list ya databases nilizotengeneza kwenye (ubuntu 12.0.1).
lakini nikifungua kwa phpmyadmin naziona hizo databases zangu
apokuwa nalog in kama root. I am getting the following error

ERROR 1044 (42000): Access denied for users ''@'localhost' to database 'cim'

​

Any help would be appreciated

[/TD]
 
Je ume login kama root? Kama hapana basi jaribu kuwa root ndiyo uweze fanya unavyotaka.
 
Back
Top Bottom