Guy of gisbon
JF-Expert Member
- Apr 22, 2024
- 584
- 871
hahahaaa imebid nicheke. Me nilikuwa na peruzi kama mgeni kwa miaka mingi nikaona nijiunge tu niwe memberNiliingia nikiwa mdogo sana humu, na ni my Dad ndiyo alinijulisha kuhusu JF. Nikajiunga, nikasahau user ID 😃😃😃 nikaja na hii miaka hiyo.
Thanks❤️🙏,.Nimefurahi sana rafiki yangu, tuliuguza pia. ❤️❤️❤️❤️
We love You Buddy 😍
Karibu tena , na hongera sana.Nimerudi Now,. Nambie
Hahah😂😂😂,. Wataanza kumwomba mgonjwa vocha sio😂Wataanza kuomba vocha wasivyokuwa na haya 🤣🤣🤣
Naam nam
Karibu tena na pole kwa uliyo kuwa unapitiaNaam nam
Asante rafiki,. Nishakaribia🙏❤️Karibu tena na pole kwa uliyo kuwa unapitia
😗😘Asante rafiki,. Nishakaribia🙏❤️