Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 19,717 Reaction score 62,666 Jun 17, 2025 #201 Manyanza said: Balaa Sokoine na Majengo, Lizaboni nahisi pamekuwa pazuri Click to expand... Lizaboni Pazuri barabara kuu tu,. Huko mitaani vumbi sio mchezo Sokoine labda kidogo
Manyanza said: Balaa Sokoine na Majengo, Lizaboni nahisi pamekuwa pazuri Click to expand... Lizaboni Pazuri barabara kuu tu,. Huko mitaani vumbi sio mchezo Sokoine labda kidogo
Manyanza Platinum Member Joined Nov 4, 2010 Posts 20,214 Reaction score 47,752 Jun 17, 2025 Thread starter #202 Leejay49 said: Lizaboni Pazuri barabara kuu tu,. Huko mitaani vumbi sio mchezo Sokoine labda kidogo Click to expand... Lizaboni kwenye ule mlima Kiburang'oma tulikuwa tunachukua chokaa pale kuna ngunja balaa
Leejay49 said: Lizaboni Pazuri barabara kuu tu,. Huko mitaani vumbi sio mchezo Sokoine labda kidogo Click to expand... Lizaboni kwenye ule mlima Kiburang'oma tulikuwa tunachukua chokaa pale kuna ngunja balaa
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 19,717 Reaction score 62,666 Jun 17, 2025 #203 Manyanza said: Lizaboni kwenye ule mlima Kiburang'oma tulikuwa tunachukua chokaa pale kuna ngunja balaa Click to expand... Hiyo itakuwa zamani sana??,. Maana sikuizi sioni mlima eti
Manyanza said: Lizaboni kwenye ule mlima Kiburang'oma tulikuwa tunachukua chokaa pale kuna ngunja balaa Click to expand... Hiyo itakuwa zamani sana??,. Maana sikuizi sioni mlima eti
Manyanza Platinum Member Joined Nov 4, 2010 Posts 20,214 Reaction score 47,752 Jun 17, 2025 Thread starter #204 Leejay49 said: Hiyo itakuwa zamani sana??,. Maana sikuizi sioni mlima eti Click to expand... Ukiwa Lizaboni uliza wapi mlima Kiburang'oma
Leejay49 said: Hiyo itakuwa zamani sana??,. Maana sikuizi sioni mlima eti Click to expand... Ukiwa Lizaboni uliza wapi mlima Kiburang'oma
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 19,717 Reaction score 62,666 Jun 17, 2025 #205 Manyanza said: Ukiwa Lizaboni uliza wapi mlima Kiburang'oma Click to expand... Nitauliza aisee,
Foffana JF-Expert Member Joined Oct 29, 2022 Posts 3,065 Reaction score 5,268 Jun 17, 2025 #206 Huu uzi kitambo😅
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 19,717 Reaction score 62,666 Jun 17, 2025 #207 Foffana said: Huu uzi kitambo😅 Click to expand... Sanaa😂😃 Si unajua ndugu zako walivyo vizuri kufukua makaburi
Foffana said: Huu uzi kitambo😅 Click to expand... Sanaa😂😃 Si unajua ndugu zako walivyo vizuri kufukua makaburi
Palina JF-Expert Member Joined Oct 9, 2021 Posts 3,754 Reaction score 10,031 Jun 17, 2025 #208 Leejay hukumpa hata kitu kaka Manyanza kweli??
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 36,179 Reaction score 71,639 Jun 17, 2025 #209 Vipi hali yake kwa sasa...wengine ndo tunaona uzi leo...
Manyanza Platinum Member Joined Nov 4, 2010 Posts 20,214 Reaction score 47,752 Jun 17, 2025 Thread starter #210 Kalpana said: Vipi hali yake kwa sasa...wengine ndo tunaona uzi leo... Click to expand... Eti Ms Leejay49??? Vipi ulishapona kabisaa?
Kalpana said: Vipi hali yake kwa sasa...wengine ndo tunaona uzi leo... Click to expand... Eti Ms Leejay49??? Vipi ulishapona kabisaa?
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 19,717 Reaction score 62,666 Jun 17, 2025 #211 Manyanza said: Eti Ms Leejay49??? Vipi ulishapona kabisaa? Click to expand... Nishapona kabisa my friend,. Mungu ni mwema
Manyanza said: Eti Ms Leejay49??? Vipi ulishapona kabisaa? Click to expand... Nishapona kabisa my friend,. Mungu ni mwema