Wasalaam rafiki na Members wote humu.
Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza rafiki yetu na mpendwa wetu Ms
Leejay49 amerudi na anasema amepona.
Nasema Alhamdullilah kwa maombi yenu na dua zenu, Mwenyezi Mungu ametenda na hatimaye tunaye tena hapa jukwaani.
#WelcomeBack Ms Leejay
🥳🥳🥳🥳