Mrudishe mpenzi wako!!!

Mrudishe mpenzi wako!!!

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,832
Text-Your-Ex-Back.jpg

Leo katika pitapita zangu
kwenye mtandao
(internet) nikakutana na
hizi chuma
nikaona sio
mbaya nikiwashirikisha
wadau. Jamaa wanaeleza kinaga ubaga maujanja
muhimu sana ambayo
unaweza kuyatumia kumrudisha mpenzi wako mliye achana zamani (Ex)
kwa kutumia ujumbe
mfupi wa maneno (SMS)
tu.
FINYA KITUFE
 
Uzembe huu kwani wenza wameisha? Madomo zege na wenye mawazo mgando ndio inawafaa.........ila jamaa atawapata maaan kila kichwa usd47
 
Bora sijafinya kitufe.
Na wengine msifinye kitufe.
 
Mlikua pamoja, mkashindwana na akaamua kuchukua time. So why do u want him/her back. Siku zote unasonga mbele...hakuna kurudi nyuma
 
Back
Top Bottom