Changanya vyote pamoja kisha pondaponda pamoja na chungu chake funga kwenye vitamba cheusi na chekundu kwa kamba na pini katupe mtoni kwenye maji ya alfajiri huku ukinuizia
Haa haa ya leo kariiii...mi kuna mtu namzimikia kinoma ila hayuko hapa nchini, nafanyaje mkuu?
Jiandae kutengenezwa....Aiseeeeh! Vitu vingine vya kufikirika sana.
Tuna shamba la Mzaituni na majani/mizizi ya mkafiri, nk !!!vipovipo tu...!Duu unafanya nini navyo?
nilisikia uchawi hauvuki bahari...!