Mrs. Bishanga niko hapa

Yaani Kamanda usijali ! Hiyo vote fanya ya kufikia tu!
Ngoja nimalize kujinyoa nikamvotie shemeji .

Asante sana! muda wa kuvote bado ndugu yangu..
muda huu ni wa mapendekezo kwanza. afu leo ndiyo the end....
 
Na tunawatangazia mapema 2015 ukiutaka Ukikwete bila kuwa Member JF huupati ng'o. Uongozi wote sasa hivi unapangwa JF, Tena safari hii MMU ndio wamepania kumtoa Kikwete mpya 2015.

Hakikaka.

Shemz wangu Kongosho na The secretary itabidi tuwafanyie intavyuu. Hahaha
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…