Huo si upumbavu!! Unaposema huyu hapa maana yaake unamuona! Au ni jini ametoweka sasa una tuuliza tena sisi tunaokusikiliza kama siyo kusoma ulicho andika? BAVICHA wote wanaonekana Zumbukuku kwasababu ya watu kama wewe!!
Mbona una khasira au unataka kugombea nini?
Kwa hapa hata mimi naungana na wewe, Mawazo kama umri unatosha ana fiti, Tatizo lake alikuwa Gamba tuu zamani. Mwenyekt ajaye Tupate mwenye sifa zote km za mawazo na itapendeza zaidi akose sifa moja tuu yakutoka Ugambani.
Tunataka kiongozi akisimama jukwaani anaeleweka BENSAANANE DOMO ZITO MKUU, HAWEZI JUKWAA HATA DAKIKA TANO KWA WANAO MFAHAMU ANA VIDOLE VYEPESI KUANDIKA KWENYE SOCIAL MEDIA TUU. Tukipata Mwenyekiti wa dizain hii hatoishimika na anaowaongoza SINA BIFU NA BEN na ni rafik yng lakini naipenda sana BAVICHA yangu.
ndio maana sijawahi kumsikia ben akihutubia kwenye mkutano wowote wa chadema, nasikia ana kigugumizi.kikali sana, bora aaendelee na kazi yake ya kubeba sumu tu
yuko wapi?? nyie machizi tafuteni tiba kabla ya kuposti utumbo.
Sifa kuu ni awe na ujasiri wa kumwagia watu tindikali
Kwani mama junior hawezi kushika hiyo nafasi??
Kwa hapa hata mimi naungana na wewe, Mawazo kama umri unatosha ana fiti, Tatizo lake alikuwa Gamba tuu zamani. Mwenyekt ajaye Tupate mwenye sifa zote km za mawazo na itapendeza zaidi akose sifa moja tuu yakutoka Ugambani.
Tunataka kiongozi akisimama jukwaani anaeleweka BENSAANANE DOMO ZITO MKUU, HAWEZI JUKWAA HATA DAKIKA TANO KWA WANAO MFAHAMU ANA VIDOLE VYEPESI KUANDIKA KWENYE SOCIAL MEDIA TUU. Tukipata Mwenyekiti wa dizain hii hatoishimika na anaowaongoza SINA BIFU NA BEN na ni rafik yng lakini naipenda sana BAVICHA yangu.
kama ni utumbo kwa nini uchangie? Huoni kwamba wewe ni kinyesi kabisa?