Wakuu haswa wale vijana wenzangu, tunaelekea katika chaguzi cha chama chetu pendwa na tumaini la watanzania binafsi naupongeza uongozi wa comrade Heche kwa kuongoza baraza letu kwa kipindi kifupi illa limeleta tija kubwa katika chama na Taifa.
Heche amesha disqualify kuendelea kuomba nafasi hyo tena kwa umri wa Bavicha kumpita Mkono sasa tunahitaji Kijana Makini, Shupavu, mwerevu na anayejua vyema siasa za kitanzania na za kimataifa atakayerithi kijiti hiki.
Je unadhani ni nani atafiti kuliendesha gurudumu hili ambalo Heche ataliachia rasmi trh 28/8/2014?
Je Mwenyekiti ajaye wa Bavicha pamoja na makamu wake unapendekeza awe na sifa zipi?
Mrithi wake lazima atoke mkoa wa kilimanjaro!
Kwani mama junior hawezi kushika hiyo nafasi??
Akili zake sio za kuwa kiongozi yule...yeye ana special duty, nadhani mnaijuaben saanane ?
naye katoka kule kwetu?ben saanane ?
Mods, Please hii haifai heading na content haviendani! Naomba mtutolee huu ujinga wa watoto wa bavicha hapa!!
cc: · Paw,
PainKiller
Huo si upumbavu!! Unaposema huyu hapa maana yaake unamuona! Au ni jini ametoweka sasa una tuuliza tena sisi tunaokusikiliza kama siyo kusoma ulicho andika? BAVICHA wote wanaonekana Zumbukuku kwasababu ya watu kama wewe!!
Alfonce Mawazo itakuwa poa kama umri alio nao ni sahihi. Kama kazidi umri basi Ben wa sa8 ndiye awe mrithi..