Koo Lauma
Senior Member
- Jun 10, 2014
- 184
- 61
Wakuu haswa wale vijana wenzangu, tunaelekea katika chaguzi cha chama chetu pendwa na tumaini la watanzania binafsi naupongeza uongozi wa comrade Heche kwa kuongoza baraza letu kwa kipindi kifupi illa limeleta tija kubwa katika chama na Taifa.
Heche amesha disqualify kuendelea kuomba nafasi hyo tena kwa umri wa Bavicha kumpita Mkono sasa tunahitaji Kijana Makini, Shupavu, mwerevu na anayejua vyema siasa za kitanzania na za kimataifa atakayerithi kijiti hiki.
Je unadhani ni nani atafiti kuliendesha gurudumu hili ambalo Heche ataliachia rasmi trh 28/8/2014?
Je Mwenyekiti ajaye wa Bavicha pamoja na makamu wake unapendekeza awe na sifa zipi?